Kwa sisi tusiofahamu majukumu ya vyeo mbalimbali vya jeshi, je Generali wa nchi hiyo yeye anakua mkuu wa nini?PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
🤣🤣PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
Kweli mkuu yule wa Iran hakuwa na unene wowote wateule wakapita name.... Unene si ishu..Hawa vilaza wengine wanadhani mkuu wa majeshi anapigana yeye kazi zake kutoa plan ukimuona kenda front line basi kahakisha kuna usalama wake kwanza.
Wakuu wa majeshi wa nchi za Africa.PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
Africa balaa tupuPICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
Ni yupi unayemzungumzia hapo?PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini 🇸🇿…
View attachment 3410072
Hata kulomba inaweza kuwa shida kwakeJenerali gani mnene hivyo? Si atashindwa kukimbiza majambazi na vibaka?
Umemaliza. Africa tambara bovu.Ila Africa ina shida kubwa sana kwenye vichwa vya viongozi. Haitaweza kupiga hatua yeyote ya maana
Kwani viongoz WA nchi Fulani wakoje haya umepiga hatua GANI ?Africa haitapiga hatua kwasababu ya watu kama wewe mnaoamini kila kiongozi ni mjinga isipokuwa nyie.
Hii comment inaonyesha ni jinsi gani unafanana akili na hao viongozi.
TULIA mkuu HIYO ni DALILI ya mtu mwenye roho safi Hana SHIDA na MTU au we unapenda wale viongozi walio muua muuza madini lindi UKO?Hata kulomba inaweza kuwa shida kwake