PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini

Jenerali gani mnene hivyo? Si atashindwa kukimbiza majambazi na vibaka?
 
Luteni Hana Tu Shakaa,...Ameamua Kujinenepea Zake,...Kwani Bei Gani Asee...??
 
Unene muda mwingine ni sifa za cell hai ndani ya mtu.
Kwani akiwa mnene hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye kazi yake?
Mkuu wa majeshi kazi yake kubwa ni kutawala (kupanga na kutoa maamuzi) vitani watakwenda kusimamia ma captains
Hawa vilaza wengine wanadhani mkuu wa majeshi anapigana yeye kazi zake kutoa plan ukimuona kenda front line basi kahakisha kuna usalama wake kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…