Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
sio lazima watanzania wote tuwe waelevu na wehu mnahitajikaili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Itapelekwa UN siyo kwakoili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Eti wanaume kama kumi wanamzunguka kwa kipigo mwanamke! Poor Magereza ndio maana wana safe zimechakaa utadhani street hustlersUtadhani enzi za makuburu!!
Yeah nadhani sometimes unaweza kufikia kuwaza mabayaHuyu ikitokea za kutokea ni wa kuwafanya kama mawaziri wa Tolbert wa Liberia
ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
Utadhani enzi za makuburu!!
Nilitaka kushangaa pamoja nakusoma sheria hakuelewa kuhusu taratibu zamagereza...
Sent using Jamii Forums mobile app