Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!

Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Hapa mbona Kama wanamsaidia kutembea? Huyo afisa wa magereza anasaidia kumnyanyua, acheni upotoshaji,
 
Kwani hawa akina Bulaya walikwenda segerea kutafuta nini?
Na hivi ni kosa kisheria kwenda kumlaki mfungwa/mahabusu aliyepewa ruhusa kwa shangwe?
Waliowapiga akina Bulaya walikuwa wanzuwia nini, kisitendeke pale segerea ambacho walihofia kutokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mdomo ndio uliponza kichwa
 
Huyu ikitokea za kutokea ni wa kuwafanya kama mawaziri wa Tolbert wa Liberia

Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis.
Aliyewapiga risasi unajua kilichompata nayeye?
 
Aliyewapiga risasi unajua kilichompata nayeye?
Alikuja kubadilika kama jiwe anavyo badilika sasa pamoja na kuanza vizuri. Asipo angalia naye ataishia kutembezwa kwenye tololi huku masikio yamekatwa.
Yanayotokea kwa wengine hata wewe ukifanya usishangae yakikutokea.
 
Na watu wa kawaida Kama wewe waliishia wapi? Endeleeni kusambaza Corona
 
Na watu wa kawaida Kama wewe waliishia wapi? Endeleeni kusambaza Corona
Kawaida kama tulivyo. Kuhusu Corona sisambazi maana nashukuru Mungu sijapata maambukizo. Ila najua wewe wa matawi ya juu huwezi kusambaza maana maambukizo hayakuwezi!
 
Back
Top Bottom