Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
h
Hii ngoma ina kuja tz
Soon and very soon....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
h
Hii ngoma ina kuja tz
Fikiri na jiulize maswali mengi tofauti kabla ya kuandika. Think before you leap.Mzaha mhaza huanza kidogo kidogo
Ilikua mahakamani kelele nyingi ikaja huko magereza ndo ilipodhibitiwa ingeachiwa kidogo kidogo vituo vya polisi ikaaendaa kushtuka mara lugalo kuja kukumbuka ikulu haoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aliyeona msururu wa daladala ambazo lion-chawene alizisema?
Sishangilii wala kupenda watu waonewe ila picha hii haithibishi kuwa hawakuwa kwenye lango.Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Hawawezi kuthubutu kuiweka.ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Ona hii corona ya kijani, pumbavu kabisaHyo picha inaonesha wazi askar wa kike wamekashika hako kadada kameshapata stahiki yake kanapelekwa kuhifadhiwa. Sasa kama kamekamatwa na kanareact kupelekwa sehemu husika ulitaka wakambembeleze kama mtt wa chekechea?
Ni kweli askar tunawachukia bt ikifika mda wa kufanya kaz yao tuwaache wafanye kazi, tusijifanye tunaijua saaana kazi yao kama tunajifanya tunaijua basi tungeenda depo ili na sisi tuwe wao.
Mkitaka askari waache kuwapiga nyinyi mnaojifanya mnavichwa vigumu mpeleka mswaada bungeni wa kusitisha bajet ya kununua virungu mabomu ya machoz nk. Bt kama bajet ya virungu bado ipo basi tegemea usipofuata taratibu icho kirungu mlichokinunua kitatumika.

Kwa picha hiyo hilo gereza angelivunja kwa kitu ganiMmefeli kusoka picha huyo avutwi Ila wamamziwia inaonekana Kuna sehemu anataka kwenda kwa nguvu Askari wanamziwia Apo unatakiwa uangalie anaelekea wap Sio kutaka kudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ushahidiUnajua mtengeneza picha bado alisahau kubadiri nguo! Maana cku hyo bulaya alikuwa na gwanda .
Kwani hawa akina Bulaya walikwenda segerea kutafuta nini?Hii ni picha ni ya uchochezi! Photoshop! Hawa kinamama siwalikuwa wamekwisha toka jera!? Sasa kiherehere kilichowafanya warudi tena huko badala ya kutulia home kilitoka wapi? Hivi hawana familia za kuwafanya watulie? Askari wetu wana uweredi wa hali ya juu! Marekani wangepigwa shaba kabisa! Nyie mnaozungusha picha za uchohezi tutashughurika nanyi muda sio mrefu kwa sheria za JMTz!