Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Kwani walienda magereza bila sababu maalum?! Kwa akili yako unaamini Mdee na wenzake walivamia magereza na hawakuishia hapo wakampiga na kunchania askari sare yake?! Wakati mwingine muwe mnajaribu kutumia akili zenu za kawaida basi!!!Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Sent using Jamii Forums mobile app