Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Hivi hawa wadada walivyo na mdomo wangevutwa kweli si wangesema siku ile mbowe alivyoenda kuwajulia hali. Mbona hatukusikia wakisema tulivutwa getini. Mmeanza kiki upyaaaa. Mtawadanganya hao wanyamapori mnaowafugia ufipa.
Lema mwenyewe alisema siku ile mahakamani kuwa ujasiri bila nidhamu ni vurugu. Halima akivuta kitu anawapelekesha tu wenzie. Nao wanaendaga tu hasa huyo bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nikuulize swali dogo tu, wewe kada wa Lumumba.

Hivi kuna maana gani watu wa CCM kuingia hapo gerezani Segerea na "convoy" ya nagari ya serikali ya Ikulu, wakati hiyo ni shughuli ya kichama?
Mtu kuhoji ukweli tu amekuwa kada wa lumumba? Hilo convoy unalosema lilipiltiliza hadi maeneo yasiyoruhusiwa? Na hilo convoy lilingia bila ruhusa? Na una uhakika gani kama magari ya ikulu yalitumika?
 
Acha kufananisha na dunia ya kwanza waliokuzidi kila kitu, sema ingekua Rwanda utaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kwenye hiyo dunia ya kwanza ndio neno haki za binadamu ndiko lilikotokea! Demokrasia pia ndiko ilikotokea lakini yanayotendeka huko ni kizungulumkuti!
 
Hivi hawa wadada walivyo na mdomo wangevutwa kweli si wangesema siku ile mbowe alivyoenda kuwajulia hali. Mbona hatukusikia wakisema tulivutwa getini. Mmeanza kiki upyaaaa. Mtawadanganya hao wanyamapori mnaowafugia ufipa.
Lema mwenyewe alisema siku ile mahakamani kuwa ujasiri bila nidhamu ni vurugu. Halima akivuta kitu anawapelekesha tu wenzie. Nao wanaendaga tu hasa huyo bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatumia iyo nguvu kubwa kumwambia nani sasa ikiwa dola inajua ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najiuliza scenario ya wanawake kuvamia gereza!

At least baada ya kuona picha hii nimeelewa.

Ukweli ni jambo muhimu Sana kulizungumza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama hawajui na ikawa ni kweli walifanya kinyume cha sheria, lakini ni kweli wanajeshi waliona njia sahihi ya kuwadhibiti hao viongozi ni kuwavunja mikono!?

Hawa wanajeshi wetu tunaamini wamefunzwa mbinu nyingi na wana uwezo wa kukabiliana na wanaovunja sheria kwa weledi wa hali ya juu.

Ulishaona mtu anapiga risasi panya!?
Na tumshangilie kwa ujasiri wake!!
Ni hasira baada ya kina heche kuwasema vibaya? Ama ni maagizo toka juu? Au mkuu wao anajua mbinu zasasa pale unapotaka promotion???
Maana bulaya na mzee ni wanasheria wakusomea kweli wangekosa kujua magereza kunataratibu zake!!

Sent using Redmi Y2
 
Hata weye uliyechukua hii clip wakutafute tu. Sheria inakataza kupiga picha maeneo yoote ya jeshi. Usijelia baadaye kuwa; Wananionea. wananioneaaaa kwani hamuachi kulialia. Labda uhame nchi
 
kaburu wa Tanzania ni hatari sana,

Ni heri mambosasa angekaa kimya.
 
Ninaamini aliyewatuma wale askari magereza ni Bashite Makonda. Ninaamini hata hukumu ile ni maelekezo ya Bashite. Ninaamini Nchi sasa iko mikononi mwa Bashite hakuna cha waziri mkuu wala makamu wa rais wala waziri mwenye dhamana. Chini Magufuli yuko Bashite.
Kwa jinsi mipango ovu inavyofanyika kizembe na kuacha maushahidi kibao atakuwa yule zero brain wa Dar aka mrs No 1.
First lady wa Dar ana hasira kwanini hakualikwa mkutano wa BAWACHA dar na hata alipojaribu kwenda akazuiwa. Adhabu ya Halima na Bulaya inatokana na kisasi hicho. Mayor Jacob alikuwa kwenye ule mkutano wa BAWACHA na yeye ndiye aliyejimwambafy kuwa Bashite asiingie. Jacob asingesaidiwa na Magereza kutokukimbia leo angekuwa kwenye friji mkaavu wa juzi, Bashite aliagiza auwawe kwa risasi angekimbia. Huyu Bashite aka first lady wa Dar ndiye anayeendesha nchi vyombo vyote vinamsikiliza.

Jaribio: Atafutwe askari magereza kati ya hao hapo juu atekwe na wakati wa utesaji ataeleza yote
.
Asubuhi imekaribia. Dalili- wanachoficha kinagundulika mapema. Ona hao wasichana wanasulubiwa barabarani.

Hivi hao mbwa wanaoshabikia unyama huu ni binadamu au masokwe watu?
 
ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Kama hujui kusoma hata picha huwezi ona? Faida ya kulishwa matango pori shule za kata zenye waalimu watatu:wawili wa masomo ya sanaa na mmoja wa sayansi.Uwezo wa kudadisi na kutafsiri ni 0!
 
Back
Top Bottom