Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Afrika Afrika Eheeee...
IMG_20200320_223458.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi
Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!

Time will tell

View attachment 1394222

Jr[emoji769]
 
Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!

Time will tell

View attachment 1394222


huyo jamaa mwenye rungu ni jirani; tena nyumba ya tano..

machoni ni mwema,mnyenyekevu na mzee wa baraza...sijui amepatwa na nini

labda ni job description's.!!

anaitwa baba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!

Time will tell

View attachment 1394222
Hii ni picha ni ya uchochezi! Photoshop! Hawa kinamama siwalikuwa wamekwisha toka jera!? Sasa kiherehere kilichowafanya warudi tena huko badala ya kutulia home kilitoka wapi? Hivi hawana familia za kuwafanya watulie? Askari wetu wana uweredi wa hali ya juu! Marekani wangepigwa shaba kabisa! Nyie mnaozungusha picha za uchohezi tutashughurika nanyi muda sio mrefu kwa sheria za JMTz!
 
Tatizo haya madada yenu Yana viburi na yanavuta bangi. Naamini Kama sio sheria wangekuwa wameshangolewa meno

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Madada wanajitambua, siyo kama magarasa ya kwenu yamekalia kukata viuno tu! Kuna lidada lenu huku libunge la viti maalum nakaribia kulisugua muda si mrefu nitapiga mbunye ya mbunge wa ccm!
 
Ukiangalia hiyo picha, bila kujali chochote ni embarrassment kubwa sana kwa Taifa. Ni aibu sana

Hivi hao askari hawawezi kumdhibiti huyo binti kwa pingu kama ni lazima.
Wale askari wa kike wanafanya kazi gani hadi mibaba hiyo idhalilishe Taifa kiasi hicho

Zamani tuliwalaani makaburu wa Afrika kusini, Tukaalani Israel kwa Wapalestina. Tulilaani Biafra ya Nigeria
Tuliaani mauaji ya Sharpville na Soweto kwa kujua kuna ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu

Sijui kama tuna cha kulaani tena! Hata kaburu akiona haya nadhani anatabasamu. Hii ni embarrassment kubwa sana.

Hivi kupambana na mabinti imekuwa national priority! real! tunaweza kuwa embarrassed zaidi ya hapo? Fedheha sana

JokaKuu Pascal Mayalla The Boss
 
Siku yatukio alikuwa kavaa magwanda yao cyo hizo soksi alizoweka!
Rudia kutengeneza upya!
Umeripwa bure.
 
Mtengeneza picha Nasema umelipwa bureee! Yani bwerere!
Pamoja nakujifungia cku zte hizo bado ulisahau gwanda.
 
Mwenzako naye alileta uzi wa ujerumani acheni uongo ummy siyo muhongo ila nae alivyo kilaza ktk kuhariri kwake hyo barua aliyodai imetoka ubarozi wa germany,

Akahariri vibaya , baadhi neno Germany likasomeka Germany na sehem zingine likasomeka German.
Tulivyomuonyesha ukilaza wake kafuta nyuzi yote.
Umebaki ww kufuta yte au kutoa yakwangu! Mi nakesha nanyie mchana na hata usiku kwa gharama zangu kutetea nchi yangu!
Mkileta hoja ya msingi nitaunga mkono na kushauri pia nahata kuchangia pesa nipo tayari ila cyo uzushi wa ngumbaru.
 
Sio kwamba hawajui kwamba wanadanganya . they know the truth , wote mambosasa na viongoz wa gereza. What they did was to please their sadistic Master
Wanatuona watz ni wapumbavu.

Ni kama wale wajinga wa BOT. Yaani wanajidanganya wanajiona kuwa wao tu ndio wamesoma.
Yani wanatudanganya kuwa pesa zina dawa ambayo haishikwi ni virus?
Haya ni matusi tunatukanwa.
Ila Tatizo ni katiba.
Wanajua wapo juu ya sheria we cant do anything
 
Sibishani na wapuuzi Leo! Nimeshapost nilichoposti, wewe bisha kisha screenshot mtumie bwanaako akupandishe cheo
Jamaa inaonesha uwezo wako wa kufikiri na kujibu ni mdogo Sana sijaona comment yako hata moja ukijibu hoja au ukifafanua hoja yako zaidi ya kukashifu hii inaonesha bado small thinker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari Wazalendo wataendelea kuvujisha picha zaidi na video zote za kinyama
 
CCM tendeni haki, jiaminini, nyinyi ni chama kikubwa na kikongwe, uhuni unaahirisha matatizo hau malizi, Kwa matendo haya jitafakarini. Sidhani mwenye kiti wenu anatarajia haya.

Nchi yetu sote na siasa ndo maisha yetu wote Kwa mfumo wa dunia ya leo
 
Back
Top Bottom