the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hataki tukione ataweka cha nini ?Kwa muonekanano hii picha imechukuliwa ktk video. Iachie video yenyewe ili tujionee kilichotokea, sio kutupa kile unachotaka wewe tukione.
Atuambie kwann hataki tuoneKama hataki tukione ataweka cha nini ?
KatashekadmSasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Mshamba na limbukeni katika ubora wake!...Umeripwa bure.
Heri hata mngekuwa mnaongea kabisa Kisukuma, hizi lugha zingine zinawapa taabu kweli kweli!Nyie mnaozungusha picha za uchohezi tutashughurika nanyi muda sio mrefu kwa sheria za JMTz!
Umeuwa mkuu, eti vigezo vyao ni kutokua na akili, na walivyochakaa ni hatari[emoji28][emoji28][emoji28]Hao wamechakaa mpaka akili. Nawachukia sana watu wanafiki na waongo. Tunajua vigezo hata vya ajira zao ni kutokuwa na akili kubwa. Lakini ukiwa huna akili siyo lazima uwe mnafiki na mwongo.
Acha kufananisha na dunia ya kwanza waliokuzidi kila kitu, sema ingekua Rwanda utaelewekaHii ni picha ni ya uchochezi! Photoshop! Hawa kinamama siwalikuwa wamekwisha toka jera!? Sasa kiherehere kilichowafanya warudi tena huko badala ya kutulia home kilitoka wapi? Hivi hawana familia za kuwafanya watulie? Askari wetu wana uweredi wa hali ya juu! Marekani wangepigwa shaba kabisa! Nyie mnaozungusha picha za uchohezi tutashughurika nanyi muda sio mrefu kwa sheria za JMTz!
Oi, umenireply nn, naona JF wamefuta comment yangu [emoji23], biased forum, na nishasahau nilichocomment, nikumbushe, alafu hapo pichani mbona sioni hata virungu, mnamind as if its soo extreme.Yeah nadhani sometimes unaweza kufikia kuwaza mabaya
Naona picha haikuchukuliwa vizuriEti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Tumuogope Mungu na tekinolojia.Furaha fupi ya mfalme na makuwadi wake inazidi kuharibu sana taswira ya umoja na ustawi wa taifa letu.Dr.Mpango anajua machungu tunayopitia kwa ubwege huu.Sio kwamba hawajui kwamba wanadanganya . they know the truth , wote mambosasa na viongoz wa gereza. What they did was to please their sadistic Master
unaambiwa walichukua mkono wa halima wakauweka gotini wakauvunja kama kuni ka!Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
ProvedDah!.. kosa lao ni kuwa wabunge wa Chadema wangekua ni wabunge wa chama twawala hakuna ambaye angewagusa.
Ukamataji kama huu hata ulaya au us unafanyika kwa mtu asipotii bila shuruti. Ungeweka picha ya wale waliovunjwa mikono wakipigwa kitogo umma ungewaonea huruma.Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Usipende kuwa unaangalia shilingi upande mmoja. Je kama akina pole pole waliomba ruhusu na kufuata taratibu. Na unjua kama walingia na magari hadi sehemu sisizoruhusiwa?Proved
Hebu imagine ile convoy ya Ikulu, iliyokuwa inaongozwa na Polepole na kundi kubwa la maofisa kadhaa wa Ikulu na waandishi wa habari, waliruhusiwa kuwa kuingia ndani ya gereza la Segerea!
Linganisha na kimsafara cha vigari vichache sana walivyokuwa navyo akina Mdee na wanachadema..........
Hii "double standard" mnayoendelea kuishabikia nyinyi maccm, hakika Mungu anawaona na atalipiza kisasi kwa kukifuta hiko chama cha CCM kisionekane tena kwenye ramani ya dunia hii!
vipi kuhusu aliyeisifia bangi ya Njombe?Kula like chief, Hawa watu wana viburi vilivyosimama wima halafu wanavuta bangi vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwanda kwani yeye Asikari magereza?Unajua mtengeneza picha bado alisahau kubadiri nguo! Maana cku hyo bulaya alikuwa na gwanda .
Hebu nikuulize swali dogo tu, wewe kada wa Lumumba.Usipende kuwa unaangalia shilingi upande mmoja. Je kama akina pole pole waliomba ruhusu na taratibu. Na unjua kama walingia na magari hadi sehemu sisizoruhusiwa?
Jambo la msingi ni kufuata utaratibu.