Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Sioni kama picha inatosha kuthibitisha hizi tuhuma zilizoletwa hapo hata kwa kuitazama inaonekana huyo mwanamke ndiyo analeta ukaidi na kashikiliwa... Akija mwingine ataweza kusema jingine kwa mujibu wa picha, hii haiwezi kuwa uthibitisho tosha. Labda video ndiyo ingeweza kuweka wazi kila kitu, picha lazima iibue maswali.
Pia kwa mujibu wa maelezo zilipigwa risasi juu, tena Mbowe kasema zimefyatuliwa 13. Hilo ni onyo maana hawa jamaa huwa hawana risasi baridi, huwa wanatembea na xa moto. Ikiwa wakizifyatua na ukakaidi, wanaweza kutumia nguvu.... Sasa hawa hadi ifikie huko kupigwa, walikaidi onyo walilopewa.