Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Sasa Mambosasa kakosea wapi!
  1. Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
  2. Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
  3. Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi

Acha uchizi...!!Sipendi na sitaki ma CCM kuwafanya Watz hawana akili....!!!
Hivi Polepole alipokwenda kumchukua sijui kumpokea Dr. Mashinji ALIKWENDA KUVAMIA au?

CCM acheni kutetea upumbavu...!
That is purely double standards...Dunia imeona na Watz wameona..,!!!

You just wait your judgement coming very soon!
 
Sioni kama picha inatosha kuthibitisha hizi tuhuma zilizoletwa hapo hata kwa kuitazama inaonekana huyo mwanamke ndiyo analeta ukaidi na kashikiliwa... Akija mwingine ataweza kusema jingine kwa mujibu wa picha, hii haiwezi kuwa uthibitisho tosha. Labda video ndiyo ingeweza kuweka wazi kila kitu, picha lazima iibue maswali.

Pia kwa mujibu wa maelezo zilipigwa risasi juu, tena Mbowe kasema zimefyatuliwa 13. Hilo ni onyo maana hawa jamaa huwa hawana risasi baridi, huwa wanatembea na xa moto. Ikiwa wakizifyatua na ukakaidi, wanaweza kutumia nguvu.... Sasa hawa hadi ifikie huko kupigwa, walikaidi onyo walilopewa.
Hata kwa Mwangosi walsema uwongo kama si urongo. Wazoefu wa kudanganya na kupindua ukweli.Mara risasi ilipaa juu ,ikapinda na kukata kona ikalenga kichwani mwa Akwilina.
 
Ninaamini aliyewatuma wale askari magereza ni Bashite Makonda. Ninaamini hata hukumu ile ni maelekezo ya Bashite. Ninaamini Nchi sasa iko mikononi mwa Bashite hakuna cha waziri mkuu wala makamu wa rais wala waziri mwenye dhamana. Chini Magufuli yuko Bashite.
Kwa jinsi mipango ovu inavyofanyika kizembe na kuacha maushahidi kibao atakuwa yule zero brain wa Dar aka mrs No 1.
First lady wa Dar ana hasira kwanini hakualikwa mkutano wa BAWACHA dar na hata alipojaribu kwenda akazuiwa. Adhabu ya Halima na Bulaya inatokana na kisasi hicho. Mayor Jacob alikuwa kwenye ule mkutano wa BAWACHA na yeye ndiye aliyejimwambafy kuwa Bashite asiingie. Jacob asingesaidiwa na Magereza kutokukimbia leo angekuwa kwenye friji mkaavu wa juzi, Bashite aliagiza auwawe kwa risasi angekimbia. Huyu Bashite aka first lady wa Dar ndiye anayeendesha nchi vyombo vyote vinamsikiliza.

Jaribio: Atafutwe askari magereza kati ya hao hapo juu atekwe na wakati wa utesaji ataeleza yote
.
Asubuhi imekaribia. Dalili- wanachoficha kinagundulika mapema. Ona hao wasichana wanasulubiwa barabarani.

Hivi hao mbwa wanaoshabikia unyama huu ni binadamu au masokwe watu?

Ndugu yangu popote ulipo Mungu akubariki Sana for this very vital info!
Naweza kubaliana na wewe kwa 99.99 pc.
Ikizingatiwa kuwa Bashite Ziro Brain Ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Mkoa...LAZIMA ATAKUWA AMETOA MAELEKEZO HAYA as a revenge ya kuzuiwa kwake kuingia Mkutano wa BAWICHA...!!

Ipo siku huyu kichaa atakuja lipia huu uhuni anao wafanyia our fellow Tanzanians.....Hii haikubaliki asilan.
 
ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Fika kwanza gereza la segerea uone geographia yake.Kuvutwa ni kutolewa chini kwenye mtelemko na kulazimishwa kupanda juu mlimani gereza liko juu kilimani.
 
Ccm inahitaji kosa moja tu ili ifutike tunashukuru wenye hekima awapo ccm siku hizi ili iaangamie
 
Hata kwa Mwangosi walsema uwongo kama si urongo. Wazoefu wa kudanganya na kupindua ukweli.Mara risasi ilipaa juu ,ikapinda na kukata kona ikalenga kichwani mwa Akwilina.
Mbona unaongea vitu havilingani na hii ishu?
 
Hii serikali ya kishamba sana,hayo yote ni kumfurahisha jiwe maana kuna kipindi IGP alitumia busara kwa watu waliokusanyika,huyo Sadist akakasirika sana na kujiapiza kuwa "I wish i could be IGP"!
raha yake ni kuona watu wanateseka nawaza sana tulimpataje ntu kama huyu
 
Acha uchizi...!!Sipendi na sitaki ma CCM kuwafanya Watz hawana akili....!!!
Hivi Polepole alipokwenda kumchukua sijui kumpokea Dr. Mashinji ALIKWENDA KUVAMIA au?

CCM acheni kutetea upumbavu...!
That is purely double standards...Dunia imeona na Watz wameona..,!!!

You just wait your judgement coming very soon!
Serikali ya CCM/Polepole ndiyo inayowajibika na ustawi wa magereza na watu waliomo!! Wengine wote ni wavamizi tu
 
Back
Top Bottom