Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Najua bado unaakili za kushikiwa bwana mdogo sasa kama ww una akili sana, ndugu yako akifanya uhalifu akapelekwa kituoni nenda kawafanyie vurugu uone bajeti ya virungu inavyofanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona hii corona ya kijani, pumbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mbona Kama wanamsaidia kutembea? Huyo afisa wa magereza anasaidia kumnyanyua, acheni upotoshaji,
 
Tatizo mdomo ndio uliponza kichwa
 
Huyu ikitokea za kutokea ni wa kuwafanya kama mawaziri wa Tolbert wa Liberia

Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
Aliyewapiga risasi unajua kilichompata nayeye?
 
Aliyewapiga risasi unajua kilichompata nayeye?
Alikuja kubadilika kama jiwe anavyo badilika sasa pamoja na kuanza vizuri. Asipo angalia naye ataishia kutembezwa kwenye tololi huku masikio yamekatwa.
Yanayotokea kwa wengine hata wewe ukifanya usishangae yakikutokea.
 
Na watu wa kawaida Kama wewe waliishia wapi? Endeleeni kusambaza Corona
 
Na watu wa kawaida Kama wewe waliishia wapi? Endeleeni kusambaza Corona
Kawaida kama tulivyo. Kuhusu Corona sisambazi maana nashukuru Mungu sijapata maambukizo. Ila najua wewe wa matawi ya juu huwezi kusambaza maana maambukizo hayakuwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…