Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Very painful.Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.
View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.
View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.
Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Nimelia machozi ya uchungu kama mama!Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.
View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.
View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.
Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Mwigulu na wenzako lipeni fidia wahanga toka ktk Mali mlinzi tuibiaMama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.
View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.
View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.
Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Jamani mama wa watu, inauma sana.Nimelia machozi ya uchungu kama mama!
Ni nani anayeweza kuyabeba maumivu ya huyo mama? Hakuna!
Mungu aendelee kumpa faraja kuu, na kijana wake apumzike kwa amani, Amen.
Hujui kingereza au umefurahiaVery good painful.
Mwigulu ni kikaragosi au katuni cha wazenj anatumika kama toilet paper zeni atatupwa njeMwigulu na wenzako lipeni fidia wahanga toka ktk Mali mlinzi tuibia
Hawa wajinga wameumiza familia zetu sana ,wapumbavu wakubwa, alafu mojitu ati ipo kuteuna ,mara maridhiano 9d najua cha kufanya,Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.