PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.
Inasikitisha sana,
Inaumiza sana,
Tumefika hapa kama nchi,
Hii haitawaacha salama familia za wahusika na vuzazi vyao vinne mbele,
Mungu ni mwema!
 
Alihitimu level gani? Na chuo gani? Huko nyuma aliwahi kusoma chuo na kuhitimu Level gani?

Bila kusahau jina la huyo mhitimu
Wakikujibu nitag...
Zaidi watakuporomoshea matusi....
 
Usenge mtupu.....
1764415565472.png

1764415565512.png
 
Nimelia machozi ya uchungu kama mama!

Ni nani anayeweza kuyabeba maumivu ya huyo mama? Hakuna!

Mungu aendelee kumpa faraja kuu, na kijana wake apumzike kwa amani, Amen.
Pole sana.
Ilitegemewa mama mwenzako Samuya angekuwa na uchungu wa ki-mwanamke kama huo ulionao katika kuliongoza taifa, lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.

Sitokaa nitoe kura ya ndio kwa mwanamke yeyote katika medani za kisiasa.
 
Ndo maana alijiua akafa na upumbavu wake. Amemuacha mama yake anawewuka anavaa majoho hata hajui muktadha wake
Kuna watu waliouwawa nyumbani kwani hawakwenda kuandamana.
Kuna walio uwawa wakiwa wameenda kutafuta chakula.
Kuna waliouwawa wakiwa njiani sababu hawakusikia au walichelewa kusikia amri ya kutotoka nje baada ya saa 12 jioni.
 
Hebu ngoja kwanzaa. Mbona amevaa mavazi ya kuhitimu huyo tayari? Au alikuwa amehitimu diploma na sasa degree?
Inawezekana ikawa hivyo, kwamba picha ikiyotumika ni wakati anamaliza diploma. Maana ukiangalia majoho ya wahitimu wengine skafu zina michirizi njano na nyekundu lakini picha ya dogo skafu ina rangi nyekundu na blue
 
Kuna watu waliouwawa nyumbani kwani hawakwenda kuandamana.
Kuna walio uwawa wakiwa wameenda kutafuta chakula.
Kuna waliouwawa wakiwa njiani sababu hawakusikia au walichelewa kusikia amri ya kutotoka nje baada ya saa 12 jioni.
Hakuna kitu Kama hicho
 
Mwigulu nchemba alipoulizwa idadi ya waliouwawa aliishia kujizima data.🙄

Vyombo vya habari vya ndani vimepigwa "marufuku" kutangaza kifo hata kimoja🤕

Chawa wa mama "Tanzania inaonewa wivu"
 
Hivi hata CNN hawakung'amua kuwa wengi wa wauaji ni Green Guard ndani ya jungle uniform?
 
Hivi hata CNN hawakung'amua kuwa wengi wa wauaji ni Green Guard ndani ya jungle uniform?
 
Ilani ya chama changu ccm inasema "KAZI na utu,tunasongambele"Mwenyekiti aje anijibu humu utu gani aliowaambia watu kwenye kampeni kama ameua watu wengi hivi!
 
Back
Top Bottom