PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.

View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.

View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.

Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Nimeumia kwa kweli.
 
Mama wanu huko aliko atakuwa anaburudika tu kwa nyimbo za taarab kutoka kwa shosti yake Hadija Kopa.
 
Alihitimu level gani? Na chuo gani? Huko nyuma aliwahi kusoma chuo na kuhitimu Level gani?

Bila kusahau jina la huyo mhitimu
Nadhani kwa mtu mwenye ufahamu na thinking capacity nzuri hili lilikua sio swali la kuuliza kwa sababu picha inajieleza labda jina ambalo pia sio muhimu sana

NB: Kama maoni yangu yatakukwaza, Samahani.
 
Huyo ndo aliyechoma mwendokasi nadhani wazazi tunajukum la kuwalea vzuri watoto wetu
 
HUYO MA.L.AYA MANGE NA WENZAKE CHADEMA WANAOHAMASISHA HIZO FUJO KAMA LEMA,LISU NA KADHALIKA FAMILIA ZAO ZIPO NJE YA NCHI WANAISHIA KUANDIKA R.I.P TUH NA KUJILIZA CROCODILE STYLES

VURUGU ZAO ZILE ZIMELETA SIMANZI KWA WENGI SANA
 
Hao uliowataja ndiyo waliotoa order ya shoot to kill?
 
Hao uliowataja ndiyo waliotoa order ya shoot to kill?
Rootcause ya zile vurugu ni hao tena kwa kuwajaza ujinga wahuni wale eti tokeni road jeshi litawaunga mkono

Wanadhani ni Jeshi la gwajima lile au jeshi la wokovu?

Lile ni Jeshi la wananchi wa Tanzania
 
Hebu ngoja kwanzaa. Mbona amevaa mavazi ya kuhitimu huyo tayari? Au alikuwa amehitimu diploma na sasa degree?

Kwa ulimwengu huu wa teknolojia ungali unaulizaswali kama hili mzee baba?

Hiyo image inaweza ikawa generated na photoshop, AI n.k
 
Rootcause ya zile vurugu ni hao tena kwa kuwajaza ujinga wahuni wale eti tokeni road jeshi litawaunga mkono

Wanadhani ni Jeshi la gwajima lile au jeshi la wokovu?

Lile ni Jeshi la wananchi wa Tanzania
Hakuna mtu anayeweza kuandamana bila kuwa na yanayomkera.
Key word-root course:
Utekaji, uuaji, watu kunyimwa freedom of expression kwa kuwa haya yanawaumiza direct wananchi. Mtu mwanae, mzazi, spouse, rafiki au jirani anatekwa na kupotea the pain is unbearable tukiacha hayo ya ufisadi na ubadhilifu ambayo hufuatiliwa na watu ambao wanafuatilia uchumi na consequences za wizi wa mali za umma.
Hawa whistleblowers hawawezi kushawishi watu bila kuwepo maumivu ndani ya mioyo ya vijana wanaotoka kuandamana.
 
Back
Top Bottom