Nimeumia kwa kweli.Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.
View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.
View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.
Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Chawa mkata mauno stejiniAlihitimu level gani? Na chuo gani? Huko nyuma aliwahi kusoma chuo na kuhitimu Level gani?
Bila kusahau jina la huyo mhitimu
Nadhani kwa mtu mwenye ufahamu na thinking capacity nzuri hili lilikua sio swali la kuuliza kwa sababu picha inajieleza labda jina ambalo pia sio muhimu sanaAlihitimu level gani? Na chuo gani? Huko nyuma aliwahi kusoma chuo na kuhitimu Level gani?
Bila kusahau jina la huyo mhitimu
Pumbavuuu kabisaa!!!! Wanafikiri kuna watu WAJINGA kama wao !Halafu anakuja mwanasiasa mmoja kirahisi rahisi anasema turidhiane...
Au atadai kuwa huyo mama ni AI 😞Muliro akija atasema alikuwa kwenye maandamano
Sina uhakika ila picha unaweza kuedit tuAlihitimu level gani? Na chuo gani? Huko nyuma aliwahi kusoma chuo na kuhitimu Level gani?
Bila kusahau jina la huyo mhitimu
Mpaka anakufa alikuwa kwa mama yakoKumbe na wa mama yako aliupitia?
Kumbe mama yako mpaka alikufa pole sanaMpaka anakufa alikuwa kwa mama yangu
Adhabu ya kuandamana si kuuawa kwa kupigwa risasi.Muliro akija atasema alikuwa kwenye maandamano
Hao uliowataja ndiyo waliotoa order ya shoot to kill?HUYO MA.L.AYA MANGE NA WENZAKE CHADEMA WANAOHAMASISHA HIZO FUJO KAMA LEMA,LISU NA KADHALIKA FAMILIA ZAO ZIPO NJE YA NCHI WANAISHIA KUANDIKA R.I.P TUH NA KUJILIZA CROCODILE STYLES
VURUGU ZAO ZILE ZIMELETA SIMANZI KWA WENGI SANA
Rootcause ya zile vurugu ni hao tena kwa kuwajaza ujinga wahuni wale eti tokeni road jeshi litawaunga mkonoHao uliowataja ndiyo waliotoa order ya shoot to kill?
Hebu ngoja kwanzaa. Mbona amevaa mavazi ya kuhitimu huyo tayari? Au alikuwa amehitimu diploma na sasa degree?
Huyo shoga Lucha yuko kukatikia viuno madume wenzakeAkina Lucha watakuja na kibehi zao
Huyu mama atasema nini yani
Ataipenda Serikali ?
Hakuna mtu anayeweza kuandamana bila kuwa na yanayomkera.Rootcause ya zile vurugu ni hao tena kwa kuwajaza ujinga wahuni wale eti tokeni road jeshi litawaunga mkono
Wanadhani ni Jeshi la gwajima lile au jeshi la wokovu?
Lile ni Jeshi la wananchi wa Tanzania