PICHA: Mama Wa Imani. Rais Samia alivyoomba Dua na wasaidizi wake Ikulu kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa na Omega.

Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatambua na kujua ya kuwa Hawezi kufanya chochote na kufanikiwa katika chochote na lolote lile pasipo kibali cha Mungu.

Ndio Sababu hii leo kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni alifanya Dua maalumu ya Kumuomba Mungu ili aweze kumtangulia na kumpatia kibali mbele za watu na kumlinda , kumpigania na kumtetea zidi ya chochote kinachoweza kujiinua kwa hila na kinyume ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Ndio Maana Rais wetu Kipenzi akajikabidhi Mikononi Mwa Mungu muweza wa yote na vyote. Mungu aliye Mkuu na aliye mtoa njia na maarifa. Ndio sababu ya kuona Rais Wetu kipenzi akipata kibali mbele za watu. Ni Rais na kiongozi ambaye Mungu yupo ndani yake na yeye yupo ndani yake na wakati wote amekuwa akimtegemea na kumtumainia katika kuliongoza Taifa letu.

Ndio Maana Taifa letu limekuwa likiendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu na baraka kwa kila kitu tufanyacho Kama Taifa. Ndio sababu Mungu pia amekuwa akituepusha na Majanga na mabalaa mbalimbali. Kwa kuwa mkono wa Mungu na uso wake upo juu ya Taifa letu wakati wote. Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amepewa na kupata kibali mbele za Mwenyezi Mungu kuongoza Taifa letu.
Screenshot_20250828-175128_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa na Omega.

Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatambua na kujua ya kuwa Hawezi kufanya chochote na kufanikiwa katika chochote na lolote lile pasipo kibali cha Mungu.

Ndio Sababu hii leo kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni alifanya Dua maalumu ya Kumuomba Mungu ili aweze kumtangulia na kumpatia kibali mbele za watu na kumlinda , kumpigania na kumlinda zidi ya chochote kinachoweza kujiinua kwa hila na kinyume ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Ndio Maana Rais wetu Kipenzi akajikabidhi Mikononi Mwa Mungu muweza wa yote na vyote. Mungu aliye Mkuu na aliye mtoa njia na maarifa. Ndio sababu ya kuona Rais Wetu kipenzi akipata kibali mbele za watu. Ni Rais na kiongozi ambaye Mungu yupo ndani yake na yeye yupo ndani yake na wakati wote amekuwa akimtegemea na kumtumainia katika kuliongoza Taifa letu.

Ndio Maana Taifa letu limekuwa likiendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu na baraka kwa kila kitu tufanyacho Kama Taifa. Ndio sababu Mungu pia amekuwa akituepusha na Majanga na mabalaa mbalimbali. Kwa kuwa mkono wa Mungu na uso wake upo juu ya Taifa letu wakati wote. Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amepewa na kupata kibali mbele za Mwenyezi Mungu kuongoza Taifa letu.View attachment 3456515

Nimeipenda hiyo Mungu ndio kila kitu. Amtumainiye Mungu ni km mlimani Sayuni hautatikisika milele daima
 
Hatufuatilii huo usanii, tuko na britanicca kuhusu aliyemuua dhalimu magu. Nyie majizi endeleeni kimpango wenu.
 
Anatokea Ikulu?
 
Imani wakati vijana wanatekwa na kuuliwa kwasababu tu ya kumuongelea vibaya. Tusibiri tuone Mungu atafanya nini lakini sio Mungu wetu labda Mama ana Mungu wake tofauti yeye na wana mitandao. Hata kampeni ni fake hakuna uchaguzi hapa sasa mnafikiri Mungu ni wa wanafiki
 
Hatufuatilii huo usanii, tuko na britanicca kuhusu aliyemuua dhalimu magu. Nyie majizi endeleeni kimpango wenu.
Macho ya Dunia nzima yamefuatilia Uzinduzi wa Kampeni za Rais wetu Mpendwa na pamoja na Hotuba yake nzuri Iliyoteka mioyo ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania ndani na nje ya Taifa letu.
 
Dunia ipi inafuatilia majizi ya kura?
 
Imani wakati vijana wanatekwa na kuuliwa kwasababu tu ya kumuongelea vibaya. Tusibiri tuone Mungu atafanya nini lakini sio Mungu wetu labda Mama ana Mungu wake tofauti yeye na wana mitandao. Hata kampeni ni fake hakuna uchaguzi hapa sasa mnafikiri Mungu ni wa wanafiki
Mbona wewe hujatekwa wala kuuwawa. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu
 
"Mama wa imani"?Kangi Lugora alianza hivyohivyo kuita wengine akina "Yesu" ambao "mungu" angetokea angeshangaa.Maneno ya kufuru huleta matokeo mabaya sana.
 
imani ya nyoko
Samia anadinywa na kikwete Hilo lipo wazi
Mkuu Samia ni mama ni mke ni Rais wa nchi mpe heshima anayostahili ila mabaya yake na unayoayaona sema wazi ila kauli hii sio sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom