PICHA: Mama Wa Imani. Rais Samia alivyoomba Dua na wasaidizi wake Ikulu kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni

Nimekutahadharisha.Uwe makini na kufanya ushabiki wa kizuzu uliopea viwango.
Kunywa tu sumu UFE ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo maana huna faida yoyote ile hapa Duniani zaidi ya Kumaliza oksijeni ambayo ingetumiwa na watu wenye umuhimu kwa Taifa letu.
 
Hiyo mifugo ya kusombwa ndio unadhani nitatishika? Uchaguzi ulitakiwa uwe huru na hayo mafuriko ya mchongo ndio mngefurahia show.
Wivu tu ndio unaokusumbua . Watu wanafurika kwa hiari yao kutokana na kuwa na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
 
Wafurike kwenye chama cha wazee? Ama unadhani hatujaona wakisombwa kwa hongo?
 
Hivi wewe unalipwa bado buku 7 hpo lumumba street?

uchawa wako ni high class halafu waambie wenzio waache kunifatililia
mimi sina location maalum!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa na Omega.

Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatambua na kujua ya kuwa Hawezi kufanya chochote na kufanikiwa katika chochote na lolote lile pasipo kibali cha Mungu.

Ndio Sababu hii leo kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni alifanya Dua maalumu ya Kumuomba Mungu ili aweze kumtangulia na kumpatia kibali mbele za watu na kumlinda , kumpigania na kumtetea zidi ya chochote kinachoweza kujiinua kwa hila na kinyume ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Ndio Maana Rais wetu Kipenzi akajikabidhi Mikononi Mwa Mungu muweza wa yote na vyote. Mungu aliye Mkuu na aliye mtoa njia na maarifa. Ndio sababu ya kuona Rais Wetu kipenzi akipata kibali mbele za watu. Ni Rais na kiongozi ambaye Mungu yupo ndani yake na yeye yupo ndani yake na wakati wote amekuwa akimtegemea na kumtumainia katika kuliongoza Taifa letu.

Ndio Maana Taifa letu limekuwa likiendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu na baraka kwa kila kitu tufanyacho Kama Taifa. Ndio sababu Mungu pia amekuwa akituepusha na Majanga na mabalaa mbalimbali. Kwa kuwa mkono wa Mungu na uso wake upo juu ya Taifa letu wakati wote. Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amepewa na kupata kibali mbele za Mwenyezi Mungu kuongoza Taifa letu.View attachment 3456515

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Takataka!
 
Kuna tetesi mtoa mada huwa wanamchakata ndio maana anaakili ya ki mama mama
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa na Omega.

Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatambua na kujua ya kuwa Hawezi kufanya chochote na kufanikiwa katika chochote na lolote lile pasipo kibali cha Mungu.

Ndio Sababu hii leo kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni alifanya Dua maalumu ya Kumuomba Mungu ili aweze kumtangulia na kumpatia kibali mbele za watu na kumlinda , kumpigania na kumtetea zidi ya chochote kinachoweza kujiinua kwa hila na kinyume ya Mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Ndio Maana Rais wetu Kipenzi akajikabidhi Mikononi Mwa Mungu muweza wa yote na vyote. Mungu aliye Mkuu na aliye mtoa njia na maarifa. Ndio sababu ya kuona Rais Wetu kipenzi akipata kibali mbele za watu. Ni Rais na kiongozi ambaye Mungu yupo ndani yake na yeye yupo ndani yake na wakati wote amekuwa akimtegemea na kumtumainia katika kuliongoza Taifa letu.

Ndio Maana Taifa letu limekuwa likiendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu na baraka kwa kila kitu tufanyacho Kama Taifa. Ndio sababu Mungu pia amekuwa akituepusha na Majanga na mabalaa mbalimbali. Kwa kuwa mkono wa Mungu na uso wake upo juu ya Taifa letu wakati wote. Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amepewa na kupata kibali mbele za Mwenyezi Mungu kuongoza Taifa letu.View attachment 3456515

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakika anahitaji ulinzi wa Mola kweli kweli.Uchaguzi ukiisha tu na akaapishwa kunaweza kukawa na utekelezaji wa ibara iliyomuingiza madarakani
 
Hahahhaha nimependa hiyo "mama wa imani" anyways leo hujabubujikwa na machozi Lucas?
 
Back
Top Bottom