PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

Picha ya kwanza huyo jamaa wa kushoto mwenye shati la kijani lililokolea kafanana sana Mwendazake😀
 
Hii laana zikurudie wewe na magaidi wenzako
 
Ujinga na umasikini kwa wananch n mtaji mkubwa sana kwa C.C.M
Hata nyuso za hao watu ni za kimasikini na ujinga,inaonekana wamelazimish

Hawana tofauti na huyu.

Hii laana zikurudie wewe na magaidi wenzako
Ulaaniwe ulaaniwe mnaowatoza maskini tozo mlaaniwe na njaa zinazotuuma mlaaniwe wajaa laana nyie na vifo vyote vya maskini kwa kukosa matibabu na njaa , mulaaniwe milele
 
Ulaaniwe ulaaniwe mnaowatoza maskini tozo mlaaniwe na njaa zinazotuuma mlaaniwe wajaa laana nyie na vifo vyote vya maskini kwa kukosa matibabu na njaa , mulaaniwe milele
Tunakataa kulaaniwa laani ziwe zako
 
Tunakataa kulaaniwa laani ziwe zako
Mlaanike na damu za maskini wanaokufa njaa na kukosa matibabu . Mulaanike na jasho letu mnalokula, mlaanike nyie na vizazi vyenu machozi yetu yawe juu ya nyuso zenu na vizazi vyenu daima, mulaaniwe nasema mlaaniwe na ardhi mnayokanyaga hewa mnayovuta mulaaniwe milele [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mabango yameandikwa na mtu moja hao wakapewa waonyeshe, viongozi wa CCM wanamuona Samia Kama zuzu flani hivi anaependa sifa. Hapo hamna hata moja aliyeandika hayo mabango.
 
MaCCM akili zao hazina akili.
Chama maiti,
Mabango yote yameandikwa na SHAKA .. Chawa anajitekenya na kucheka mwenyewe = UCHAWA
Ule ndio mwandiko wa Shaka kumbe duuuh,

CHADEMA mbona mnaweweseka?
 
Ule ndio mwandiko wa Shaka kumbe duuuh,

CHADEMA mbona mnaweweseka?
Akili yako haina Akili, huwezi elewa baki Chawa tu.
Ukitazama kwa mfano herufi ”T” inafanana kwenye mabango yote.
Ila ukijaza kamasi kichwani uwezi elewa kitu.
CCM ni Chama maiti
 
Akili yako haina Akili, huwezi elewa baki Chawa tu.
Ukitazama kwa mfano herufi ”T” inafanana kwenye mabango yote.
Ila ukijaza kamasi kichwani uwezi elewa kitu.
CCM ni Chama maiti
Hebu tuaminishe sasa aliyeandika ni Shaka
 
Mabango yameandikwa na mtu moja hao wakapewa waonyeshe, viongozi wa CCM wanamuona Samia Kama zuzu flani hivi anaependa sifa. Hapo hamna hata moja aliyeandika hayo mabango.
CHADEMA mnateseka sana endeleeni kuota ndoto
 
Siasa ni mikakati, siasa ni hesabu, siasa ni ulaghai...kuna kundi lipo kulaghaiwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…