PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

Hao ni wanachama, naamini shida kubwa tatu kwa sasa unazifahamu;
1.Mfumko wa bei
2.Umeme
3. Maji.

Hayo yanatakiwa yatafutiwe ufumbuzi wa haraka. Au nimeongopa boss mkurugenzi??
 
CHADEMA mnateseka sana endeleeni kuota ndoto
Hatuwezi teseka na Chama maiti.
Chama kisichoweza kusimama kwenye chaguzi na kupigiwa kura na wananchi kinatesa namna gani?!
au unaamanisha, Wizi wa masanduku ya kura kwa nguvu ya majeshi yanaolipwa na kodi zetu, kama ulikua una maana hii sawa.
 
Siasa ni mikakati, siasa ni hesabu, siasa ni ulaghai...kuna kundi lipo kulaghaiwa hapo
Chama maiti… hakuna cha maana MaCCM yanafanya , waibe tu chaguzi maisha yaendelee..!
 
Hakuna uhalisia hapo,uongo uongo mabango yameandaliwa na wachumia tumbo.

Kwa jinsi maisha yalivyobana mwananchi hawez kukumbuka kuandika mabango tena kwenye karatas ya gharama
 
Tatizo CCM kumejaa watu wajinga sn, huyo mtu anashangilia bibi ushungi huku yeye hata uhakika wa mlo moja hana
 
Hakuna uhalisia hapo,uongo uongo mabango yameandaliwa na wachumia tumbo.

Kwa jinsi maisha yalivyobana mwananchi hawez kukumbuka kuandika mabango tena kwenye karatas ya gharama
Hao si walevi wamepewa pesa ya nyama na pombe kidogo
 
Hakuna uhalisia hapo,uongo uongo mabango yameandaliwa na wachumia tumbo.

Kwa jinsi maisha yalivyobana mwananchi hawez kukumbuka kuandika mabango tena kwenye karatas ya gharama
Karatasi na Karamu hizo tatu tofauti zilizotumika ni zile za mikutano ya ndani hotelini / Conferences meeting.

Chama maiti wamekataliwa Duniani na Mbinguni.
 
Wao wanao umeme wao na maji yao 24/7, wanayo furaha. Waache waenjoy
 
Mbona sijaona bango linalolalamika ughali wa maisha??
Au huko kwao maisha ni nafuu????
Wametumia Muandishi mmoja kwa Mabango yote ndio maana unaona ujumbe umejikita eneo moja.
 
Tuko pamoja, Pigeni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…