PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

Sura zinakataana na shangwe ,kulikoni ?,majibu utayapatu soon
 
Mbona mwandiko wa mabango yote kama wa mtu mmoja.
 
Ngoja tuone
 
Ndio hivi tu?
 
Hongera sana Sekretarieti ya Chama,
 
CCM inatisha aise,
 
Haya ni mabango ya Shaka. Ndiyo maana hata mwandiko ni wa mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…