Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Ila Polisi jamani wamempiga mungu 🤣 kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni.

Eti mungu, ivi uyu zimo kweli? tuacheni utani anayemjua anijuze unapataje ujasiri wa kujiita mungu jamani?
 
Ajabu kuna nyumbu zinaona ni sawa tu na wanashangilia kama mazuzu! This aint right at all.
Ndiyo na mimi nashangaa mkuu na ni hawahawa wanawalaumu polisi kwa mauaji yaliyofanyika Mtwara ila huku mtuhumiwa kupigwa na polisi wanafurahi
 
Lini police nao wataanza kuwapiga waganga wa kienyeji maana wanaharibu sana jamii kwa upotovu
 
najaribu kuwaza wale wengine waliokua wanajirusha rusha kama kina bruce leee na nguo zao nyeupe

sijui kimewakuta nini,kwa kujirusha vile kama kina jackie chan nikikuta nao wamedundwa asee basi zumaridi

alipelekewa defender za MP wale majamaa wasiojua kucheka,kucheka kwao ni kosa na kuvunja katiba ya jamuhuri.
 
Back
Top Bottom