Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Kuna laana ya Kristo Yeah itakushukia maishani mwako na ukigundua rudi piga goti na utubu.Ndio! Hata Mungu Yesu nae si alitandikwa mijeledi na Wanyabi🤣😂😅😆😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna laana ya Kristo Yeah itakushukia maishani mwako na ukigundua rudi piga goti na utubu.Ndio! Hata Mungu Yesu nae si alitandikwa mijeledi na Wanyabi🤣😂😅😆😁
I second you..Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
AiseeePolice hawakuja bila kuitwa. Watu wenye ushahidi wa vitendo wanavyofanyiwa watu humo ndani ndo waliita police.
Kweli bana huyu na yule ni tofautiView attachment 2137807
Huyo siyo yeye, yeye ni huyu. Laba kasepa kifalme
Umeiona sura yake ilivyochakazwa. Jamaa wamemgonga kwelikweli. Pole yake kwa kweli.Aisee nimemuona hapa kwa habari.. amechapika vilivyo aisee.
Yani kachakaa aisee.
Umecheka nini? Hata mimi jamaa kanichekesha sana. Sijui aliwaza nini kumuita mwenzake Kerubi.[emoji38][emoji38][emoji38]JamiiForums is never boring
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiangalia mahubiri yake unapata picha halisi kwamba atakuwa na majibu ya shombo sana ndio maana wamemtandika haswa maana kwani ana kesi gani imsababishie kipigo???Umeiona sura yake ilivyochakazwa. Jamaa wamemgonga kwelikweli. Pole yake kwa kweli.
Yule wa ibadani na huyu ni mbingu na ardhi. Hizi makeup hizi dah
Zipo kesi muhimu zinazomfanya awe hapo fatilia.Kama katiba yetu haiingilii Uhuru wa kuabudu,
Huyu mfalme anateseka mahabusu kwa kipi?
Inchi ina watu wa hovyo sn hii.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ni wajibu wa serikali kulinda usalama wa raia wake na kuhakikisha ustawi wao, huo ndio msingi wa katiba ya nchiKama katiba yetu haiingilii Uhuru wa kuabudu,
Huyu mfalme anateseka mahabusu kwa kipi?
Inchi ina watu wa hovyo sn hii.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kuna mwingine kavunjwa mkonoMakerubi watakuwa wamechakaa kwa kipigo.
Kila kitu katiba mpya....yaani upuuzi waliokuwa wanaufanya makerubi hukuuona?Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
Wachana na kitu, inaitwa serikali!
Mfalme kaadabishwa, wigi, mkorogo sijui mauno Yale, Hadi roho wa Vita katulizwa!
Kweli usichezee nguvu ya serikali! Mkono wake mrefu!
Na serikali ikikudhamiria huponi!
Nahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people View attachment 2137883