Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Ile misukule ya siku ile imevunjwavunjwa mikono.

Serikali noma wazee.
Na hao wenzake mashitaka yao yana dhamana, na wameambiwa wakiyatimiza wako nje, lakini wamekataa wamesema wataendelea kubaki jela na mfalme wao!!

kweli akili hizi ni tabu!!ila ni suala la muda tu watakubabali dhamana tu, na mwisho wa siku atabakia mwenyewe tu, huko jela!!

kesi yake haina dhamana uendelee kuwa ndani tu hata miaka 2, kisa mfalme!!!
 
Na hao wenzake mashitaka yao yana dhamana, na wameambiwa wakiyatimiza wako nje, lakini wamekataa wamesema wataendelea kubaki jela na mfalme wao!!kweli akili hizi ni tabu!!ila ni suala la muda tu watakubabali dhamana tu, na mwisho wa siku atabakia mwenyewe tu, huko jela!!kesi yake haina dhamana uendelee kuwa ndani tu hata miaka 2, kisa mfalme!!!
Hii rahisi Sana, mahabusu, wanasambazwa jela tofauti selo tofauti, imeisha hiyo!

Mfalme anahamishiwa kwingineko!
 
Huu ukatili wa polisi kwa raia hauvumiliki kabisa..
 
Screenshot_20220304-001431.png


Watu wanawachanganya Hawa watu

A = Mfalme zumaridi

B = Diana Bundala
 
Huyo zumaridi mwenyewe ukimuangalia vzr utaona kataswira ka ugaidi ndani yake[emoji4]
Ni vile mkorogo umedunda tu

Na kile kipilipili kakipiga mstari wa twende kilioni

Hahahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom