Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Kama katiba yetu haiingilii Uhuru wa kuabudu,

Huyu mfalme anateseka mahabusu kwa kipi?

Inchi ina watu wa hovyo sn hii.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Na hao wenzake mashitaka yao yana dhamana, na wameambiwa wakiyatimiza wako nje, lakini wamekataa wamesema wataendelea kubaki jela na mfalme wao!!kweli akili hizi ni tabu!!ila ni suala la muda tu watakubabali dhamana tu, na mwisho wa siku atabakia mwenyewe tu, huko jela!!kesi yake haina dhamana uendelee kuwa ndani tu hata miaka 2, kisa mfalme!!!
Ngoja mbu zifanye yao kwanza uone.

Walivyo wengi kubaki wote rumande ni hasara kwa taifa
 
Ila mungu ni pisi kali mjue!!
Haya pisi Kali yako hiyo hapo. Pambana na hizo fallen soldiers.

FB_IMG_1646082370794.jpg
 
Back
Top Bottom