Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
Yeye aliyokuwa anafanya akizuia police wasitimize majukumu yao alitegemea nn?makerubi wake siku ya kwaza waliwafanyia vurugu sana polis wakaja machizi wezao
 
Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?

View attachment 2137677
Nahisi hapa tumepigwa na kitu kizito quietly two different people
Collage%202022-03-03%2022_13_41.jpg
 
Back
Top Bottom