Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

Ndio! Hata Mungu Yesu nae si alitandikwa mijeledi na Wanyabi🤣😂😅😆😁
Kuna laana ya Kristo Yeah itakushukia maishani mwako na ukigundua rudi piga goti na utubu.
 
Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
I second you..
 
[emoji38][emoji38][emoji38]JamiiForums is never boring
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umecheka nini? Hata mimi jamaa kanichekesha sana. Sijui aliwaza nini kumuita mwenzake Kerubi.
 
Umeiona sura yake ilivyochakazwa. Jamaa wamemgonga kwelikweli. Pole yake kwa kweli.
Ukiangalia mahubiri yake unapata picha halisi kwamba atakuwa na majibu ya shombo sana ndio maana wamemtandika haswa maana kwani ana kesi gani imsababishie kipigo???

Fuatilia hata mahubiri yake anaongea kwa nyodo sana halafu libaya tu ni ebitoke aliyechangamka.
 
Leo ndo nimeamini make up zinawabeba wadada..🤣
 
Hapo ndipo ukosefu wa weledi unapoonekana kuna haja gani kumpiga.
 
Huko ni kuingilia UHURU wa kuabudu watu.

Mbona waganga wa kienyeji ambao kwa kiasi kikubwa uharibu Jamii wao awasumbuliwi
 
Katiba mpya ndio utakua mwisho wa haya yote,kipigo na ukatili huu ni wa kinyama na kishenzi regardless what, ushenzi huu kutoka police inaonyesha tunaishi in a police state, ningekua mimi ni hakimu hii kesi I geisha leo kwa kumteua independent Doctor amfanyie uchunguzi, ripoti yake ikionyesha alipigwa ,ushahidi wote dhidi yake utakua batili na atakua huru na uwezo wa kumfungulia mashitaka waziri wa horror affairs, na washenzi wengine humu wanafurahia haya, it's crazy
Kila kitu katiba mpya....yaani upuuzi waliokuwa wanaufanya makerubi hukuuona?

Hivi mnaishi vipi na familia zenu mnapokuwa vinara wa kurndekeza ujinga na Uhuru uliopitiliza?
 
Back
Top Bottom