Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Apumzike kwa Amani, wafiwa wote poleni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni taratibu za kiislamu.Vipi, walikosa pesa za kusafirishia mwili wa marehemu hata wazike huko uarabuni? naona kama wamekosea.
Acha moshi dogo .maana umekuharibu sana akili yako.Baada ya msiba Mchengerwa atarudi kuiba haswa mali za umma.
Sasa unataka awe na furaha na kucheka cheka wakati kafiwa na Baba yake Mzazi?Nyie wanyiha nyie, ukute ndo mmefanya yenu.
Mheshimiwa hana furaha yuko very low
Vipi leo huendi job?Acha moshi dogo .maana umekuharibu sana akili yako.
Lucas nimeambiwa amekaa kwa mganga siku 4 nzima sijui alikuwa amefuata nini?Nyie wanyiha nyie, ukute ndo mmefanya yenu.
Mheshimiwa hana furaha yuko very low
Tupo katika majonzi na maombolezo ya kifo cha Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu Mheshimiwa Mohamed MchengerwaVipi leo huendi job?
Acha moshi dogo.Lucas nimeambiwa amekaa kwa mganga siku 4 nzima sijui alikuwa amefuata nini?
Umemjulia wapi wewe chawa?Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Hivi kumbe ndugu yangu kuna muda huwa unakuwa na akili timamu! Au ndiyo yale ya kuwa hata saa mbovu kuna muda inasema ukweliNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Wewe endelea na moshi wako tu.Umemjulia wapi wewe chawa?
Sema umefuata wali na nyama, huna undungu wowote na Mchengerwa.Tupo katika majonzi na maombolezo ya kifo cha Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa
Nimeambiwa, umeelewa lakini?Acha moshi dogo.
kimbelembele tu misiba ya kwenu chimba unye huko hata kufika ni shida kazi kuabudu watu utakuwa unatatizo la yas kuwashaNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Yeye ni PS huwa ana post anachoelekezwa, tuna mlaumu bureHivi kumbe ndugu yangu kuna muda huwa unakuwa na akili timamu! Au ndiyo yale ya kuwa hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
Uchawa wake huyu umepitiliza hebu mshauri atulie wanaweza kumfikiriaKwanini unamfokea dada yangu Numbisa ?
Kudadeki zako. Tukukague sasaNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Chawa mbobevuWewe endelea na moshi wako tu.