Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #141
Una akili nyingi sana kichwani mwako ephen wangu na wenye kufanya kazi kwa haraka na wepesi zaidi ya Compyuta. Wewe ni zaidi ya Watu wanaofanya kazi kwenye mashirika ya CIA na MOSSAD ambao huwa ni akili kubwa sana.Wewe uliyetulia umepewa cheo gani? Kwanini unamuonea wivu Lucas🤔