Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Wewe uliyetulia umepewa cheo gani? Kwanini unamuonea wivu Lucas🤔
Una akili nyingi sana kichwani mwako ephen wangu na wenye kufanya kazi kwa haraka na wepesi zaidi ya Compyuta. Wewe ni zaidi ya Watu wanaofanya kazi kwenye mashirika ya CIA na MOSSAD ambao huwa ni akili kubwa sana.
 
Mama mkwe hajaenda kwenye msiba wa Baba Mkwe!? Ama kweli!??
 
Mimi sihitaji cheo kama ningetaka ningekipata tena siku nyingi tu lakini siyo mtazamo wangu kimaisha napenda kuishi maisha very private. Mimi simuonei wivu bali namshauri njia anayotumia ni ndefu sana na haitamfikisha atakapo, uchawa wake umepitiliza kiasi hata hizo mamlaka za uteuzi zinakuwa na shaka na upeo wake.
Kwa uchizi wako nani akupe cheo? Au unafikiri kuna ofisi ya Umma inayoweza kuongozwa na Chizi?
 
Tuache na maisha yetu.😉
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Chawa plus dah 😂😂😂😂
 
Kwa uchizi wako nani akupe cheo? Au unafikiri kuna ofisi ya Umma inayoweza kuongozwa na Chizi?
Nisome uelewe, mimi sihitaji cheo napenda kuwa na maisha binafsi zaidi kuliko huo upuuzi wa vyeo, wewe akili yako imegota kuwa maisha yanapatikana kwa vyeo tu ndiyo maana unakubali kujitoa akili kusifia ujinga ujinga ili tu upate cheo, hayo ni mawazo mgando kabisa.
 
Wewe domo zege utaishia kula kwa macho tu bwege wewe.
Naona una hasira sana baada ya kuona hakuna mwenye muda na wewe . Kila unayemrukia na kumparamia anakuona wewe Chizi tu. Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kukufuatilia na kuwa karibu na mtu aina yako unayefanya kazi ya kutukana na kuporomosha matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu. Una mdomo mchafu na unao nuka matusi utafikiri Chemba ya choo iliyoziba..
 
Back
Top Bottom