Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ilikuwa birthday? sikujua!Nitafutie ile video ya wolper kwenye birthday ya nillan, lol
Ni mtoto wa siku 40 Na ushee. Lakini ni Super Star wa Bongoland. Sijui wanasema kazaliwa Na Silver Spoon mdomoni!Nillan ndo nani? Mbongofleva...?
Ni kweli ana ubibi mkubwa usoni kwasasa...labda amezidisha pombe kali.wolper amezeeka sijui ni vipodozi ukimuona kwa karibu na picha zake tofauti kabisa
Hadi papuchi imepakwa lipshineNywele fake, miwani fake,lips fake, kucha fake i bet even her chocha is fake too.
Nyambura wangu ni mrembo kumshinda.
Uwiiiiiiii hapa ndo pale akiitwa jaklinaMkuu naona unachanganyikiwa na hizo Picha za insta , Anglia hii ya tecno werevaa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
Alie nae kwenye relation ni vitukoHili toto la kichaga zuri jamani
Hahahahaha.kala hela za makonde wa watu kisha kamtema duhh
wachaga kwa hela
wewe acha tabia mbayaNinyi mchambueni tu wakati yumo humu kwa id ya miss shagga
Jmn tena vp nimekukosea nn mtotowewe acha tabia mbaya
unaendelea na tabia mbaya ya kunichungulia.. haya simamaJmn tena vp nimekukosea nn mtoto
Basi nisamehe nipo
Chini yako