Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

we jamaa utakuwa na kale katabia ka kidaudi bashite maana unapenda mambo ya kike kike
 
Ninyi mchambueni tu wakati yumo humu kwa id ya miss shagga
 
wolper amezeeka sijui ni vipodozi ukimuona kwa karibu na picha zake tofauti kabisa
Ni kweli ana ubibi mkubwa usoni kwasasa...labda amezidisha pombe kali.

Tabia yake na ya Lusekelo, ni sawa... sura michirizi na pombe kali.
 
Mkuu naona unachanganyikiwa na hizo Picha za insta , Anglia hii ya tecno werevaa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
6bddaef62c5b5b370444c38d43312242.jpg
Uwiiiiiiii hapa ndo pale akiitwa jaklina
 
Back
Top Bottom