afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Nenda ukaolewa wewe unayejua kukatika badala yakeaisee halafu awe hajui hata kukatika..anakuwa kama gogo...watu wengine wanawashwa na utajiri tu ..ila safi kaamua kuzoa mwali.....hopefully watadumu sio kama ndoa za dotcom za sa hv
huo ni uzwazwa,,,kutoa mahali yote hiyo duh!Wasalam wakuu... Nimekua inspired na hii habari ya tajiri Kok alat alietoa mahari ghali kwa ajili ya kumuoa binti wa kisudan Nyalong Ngog.
swali langu, kibongobongo mtu anaweza kutoa mahela yote hayo kisa binti ni bikra?(mana kama uzuri sijaona uzuri wake kwakweli[emoji23][emoji23] labda urefu mana mimi ni kafupi!)
Kama yupo mwanaume wa sampuli ya Kok Alat aje hapa tumuone! af tuongee biashara mi mwenyewe nipo kama yule dada tuu[emoji85][emoji85]
NB.1.mimi ni mwanamke! asipatikanae wa kuhoji jinsia yangu....
2. povu sio ruksaa msije mkanipopoa mi naumwaa nkitolewa povu nazimia #idibala
karibuni[emoji120]
na watajitangaza sana,,,hahahkwahy umeona wivu mwanamke mwenzio mbaya kaolewa hlf we mzuri bado unajaza choo kwenu au ?
kwahy umeona wivu mwanamke mwenzio mbaya kaolewa hlf we mzuri bado unajaza choo kwenu au ?
Kutoa sio tatizo ishu ni nani mwenye sifa za kumtolea huku tz siku hizi.
mimi ni tajiri mkubwa tu niko tayari kutoa zaidi ya kok.
je unayo Bikra?
na watajitangaza sana,,,hahah
na chura ipo au ni flat screen?ipo bob! sema lingine
sifa ni zipi
ya wapi?ipo bob! sema lingine
Hata ya nyuma hana.!mimi ni tajiri mkubwa tu niko tayari kutoa zaidi ya kok.
je unayo Bikra?
na chura ipo au ni flat screen?