Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

aisee halafu awe hajui hata kukatika..anakuwa kama gogo...watu wengine wanawashwa na utajiri tu ..ila safi kaamua kuzoa mwali.....hopefully watadumu sio kama ndoa za dotcom za sa hv
 
Nenda ukaolewa wewe unayejua kukatika badala yake
 
Wasalam wakuu nimekua inspired na hii habari ya tajiri Kok alat alietoa mahari ghali kwa ajili ya kumuoa binti wa kisudan Nyalong Ngog.
swali langu, kibongobongo mtu anaweza kutoa mahela yote hayo kisa binti ni bikra?(mana kama uzuri sijaona uzuri wake kwakweli[emoji23][emoji23] labda urefu mana mimi ni kafupi!)

Kama yupo mwanaume wa sampuli ya Kok Alat aje hapa tumuone! af tuongee biashara mi mwenyewe nipo kama yule dada tuu[emoji85][emoji85]

NB.1.mimi ni mwanamke! asipatikanae wa kuhoji jinsia yangu....
2. povu sio ruksaa msije mkanipopoa mi naumwaa nkitolewa povu nazimia #idibala

karibuni[emoji120]
 
Wasalam wakuu... Nimekua inspired na hii habari ya tajiri Kok alat alietoa mahari ghali kwa ajili ya kumuoa binti wa kisudan Nyalong Ngog.
swali langu, kibongobongo mtu anaweza kutoa mahela yote hayo kisa binti ni bikra?(mana kama uzuri sijaona uzuri wake kwakweli[emoji23][emoji23] labda urefu mana mimi ni kafupi!)

Kama yupo mwanaume wa sampuli ya Kok Alat aje hapa tumuone! af tuongee biashara mi mwenyewe nipo kama yule dada tuu[emoji85][emoji85]

NB.1.mimi ni mwanamke! asipatikanae wa kuhoji jinsia yangu....
2. povu sio ruksaa msije mkanipopoa mi naumwaa nkitolewa povu nazimia #idibala

karibuni[emoji120]
huo ni uzwazwa,,,kutoa mahali yote hiyo duh!
 
mimi ni tajiri mkubwa tu niko tayari kutoa zaidi ya kok.
je unayo Bikra?
 
Kutoa sio tatizo ishu ni nani mwenye sifa za kumtolea huku tz siku hizi.
 
Back
Top Bottom