Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Kama una bikra zote Mimi nitatoa zaidi ya hiyo posa
 
Labda tungeanza kwako kwanza, ww uliolewa kwa mahari kiasi gani?
 
Wakati wenzake wanazotoaaa bureee
 
Write your reply...
yule jamaa ni mshamba,we unamuonaje kwani!!!


Hahaa kok alat ni tajiri mshamba kweli, na pesa zote zile alizo nazo ameenda kuoa demu mbaya..wanaume tukipata pesa tunakimbilia mademu wazuri wakati kok alat anakimbilia mademu wabaya de locci
 
Ndoa yao idumu tu tunawaombea, sio mahari nyingi halafu ndoa miezi 6 hakuna kitu, kila raheri kwake mdada ndiyo bahati yake hiyo
 
Kuoa kwa mahari kubwa ni biashara ya utumwa.

Au kununuliwa kama ng'ombe.
 
Kama unamjua bikira nikotayari kutoa mahari milioni10 mabilioni yahuyo jaama sina ila kibongo bongo hataikiongezeka kidogo sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…