Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

Ukihitaji msaada na umeweka picha kama hivi madaktari walio JF ni rahisi kujua hata wakakupa ABC kuliko ungeandika kwa maneno tuu, sijaona kama umekosea as long as umeweka kwenye jukwaa sahihi la afya. Ushauri wangu nenda hospitali ukachunguzwe na mtaalamu humu wapo madokta ila utakutana na wasio madokta wenye stress kwanza wakutukane wewe.
Asingeweka picha hao hao wangeomba picha.
 
Na asikutishe mtu eti hajapenda ulivyopost kuna mambo hayaelezeki bila picha na unaeumwa ni ww ukipata madhara zaidi yeye hayupo ww pambania tiba yako usisikilize maneno ya kila mtu mwingine hakujui na atafurahia ukiteseka. Pole sana nanuwe makini usiamini mtu kwa kumtazama
Kweli kaka, kila mtu kuna anavyofkiria yeye bila kujua kwamba lengo nikupata suluhisho. Ahsante kwakua real kuhusiana na tatizo langu. Umenichana kiume
 
.........😊😊😊 jf is very interesting, mtu ametoa taarifa kwenye heading kabisa kwamba kuna picha na inahusu sehemu za Siri, Sasa mtu anafungua anakutana na hizo sehemu za Siri then anaanza kulalamika na kum-beza mtoa post, shida yetu memba wa humu tunadhani kukosoa na kubeza ndio u-great thiker, kuna uwezekano jf ndo kambi kuu ya watu wenye changamoto ya afya ya akili...........back to the topic, mkuu pole sana, mimi sio daktari ila kwa asilimia kubwa magonjwa ya zinaa dalili zake kubwa ni kuanza kwa vipele na miwasho kwenye uume au korodani, ni wazi umepita mahali sio sahihi, muone daktari wako kabla situation haijawa worse, note that kondom sio kwa ajili ya kuzuia mimba tu...........
 
Naona ushaloa

Back
Top Bottom