Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee
Freemson mandazi na mishumaa ya 300 kwa mangi
Huyo bi maza kaning'iniza miwani ya bibi angu kule kisumu
Hivyo vitambaa vyenye logo ya Freemason ni vya enzi zile
tulikua tukitandika sebleni kwenye makochi
Hamna Freemason hapo
Freemason is all about SECRET
Ni nyimbo mpya hiyoHII HABARI KUNA SEHEMU NIMEIONA NIKAJUA FEKI,ILA KAMA NI KWELI INASIKITISHA SANA KWA NINI HAWA JAMAA WANAUZA NAFSI ZAO KWA SHETANI!!!