Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Freemasons sio mataputapu kama walalahoi wanavodhani. Hawana kiki na show-off wala hawapendi bragging. Wanajiamini na wanafanya kazi zao bila kutaka attention
 
Nawe ni Freemason? Mbona umeandika kama unatolewa roho? Siku hizi kujiunga sijui Freemasons unapigwa na picha?
Anyway mwambie ajiunge asijiunge sie haituhusu mkuu.
Hiyo naona itakuwa Freemason ya Sumbawanga
Nijuavyo Freemason ni Secret society sasa hizi za kupiga picha labda ni kwenye bongo muvi
 
Just kiki tu.

Mason wana code zao katika kila kitu.
Mavazi ya Grand master lodge, ukumbi, mtu mpya anaapishwa kuwa mwanachama, kila kitu kinaenda kwa utaratibu.

Hizo kik na story
 
Habari za yamoto mala sijui simba, wote hao wahajui kuimba ZIMAAAA baba unasemaje?? ZIMAAAA
 
Back
Top Bottom