T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Freemasons sio mataputapu kama walalahoi wanavodhani. Hawana kiki na show-off wala hawapendi bragging. Wanajiamini na wanafanya kazi zao bila kutaka attention
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason View attachment 1223648View attachment 1223649
Hiyo naona itakuwa Freemason ya SumbawangaNawe ni Freemason? Mbona umeandika kama unatolewa roho? Siku hizi kujiunga sijui Freemasons unapigwa na picha?
Anyway mwambie ajiunge asijiunge sie haituhusu mkuu.
Aisee umeona mbali sana mkuuHuu ni utapeli unaandaliwa watu waje kupigwa!
UTAPELI HASA! WATAPIGWA WAJINGA. freemosons unajiunga hivyo? Upuuuzi mtupu....................Huu ni utapeli unaandaliwa watu waje kupigwa!
Viol, wacha ujinga.Inasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason View attachment 1223648View attachment 1223649
Umuhimu washetani ukitaka kuujua kaazishe kanisaHII HABARI KUNA SEHEMU NIMEIONA NIKAJUA FEKI,ILA KAMA NI KWELI INASIKITISHA SANA KWA NINI HAWA JAMAA WANAUZA NAFSI ZAO KWA SHETANI!!!
Ametaperiwa au wewe ndio unatafuta wa kuwataperi. Freemason na picha wapi na wapi?Inasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason View attachment 1223648View attachment 1223649
Mkuu hii 'Filimasoni' ndo zile zinatangazwa kwenye nguzo za umeme na kutumiwa sms na namba ngeni[emoji23]Bongo kuna Freemason na Filimasoni tuweke wazi kajiunga ipi?
Viol Freemason halisi hawafanyi hiviInasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason View attachment 1223648View attachment 1223649