Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Gsana nilitegemea kukuta kichu.pi cha pink kikionekana. Ila ivi hata sijashtuka. Mrekebishie kola buana
 
Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Tv Ya Kimataifa, halafu anakuwa hajui kuzungumza,kivipi Tv ya Kimataifa iajiri mtu asiekidhi viwango,unajua kitu kuwa cha kimataifa ubora ni sifa muhimu, hebu check Aljazeera BBC CCTV na the like!, let's be serious tunapotoa identity,nadhani bado ni local tv station ukimataifa ingoje,bado!
 
Inafahamika mtoa post ni mfanya kazi wa azam media na mara nying huwa hampatani
 
Umbea na wivu wa kike huo sasa pambana na life sukari haigawiwi bure . Ngosha aliwadanganya.
 
Sasa ninyi kiswahili hamjui, kiingereza hamjui mnajua lugha gani?
AKIKUWA= AKIKUA.

Shule uliyoenda imekujaza ujinga, hiyo ndiyo tofauti kati ya shule niliyoenda mimi na uliyoenda wewe.

Sema "akikua" kwa sauti mara tatu ujione ulivyo punguani.

Kuhusu Kingereza wala usipate shida, anzisha tu mjadala tujimwage kwa Kingereza ila napenda ufahamu tu kuwa hata nikilala ndoto zangu huota kwa Kingereza.
 
Mkuu labda lile la kutokujua vitu vinavyohusu mjadala halafu anaenda kujadili angalau ninakuelewa lkn la uvaaji, nguo siku hizi zina mitindo mingi nyingine unaweza kudhani mtu kavaa nje ndani kumbe ndivyo ilivyo
 

Dada acha uongo unaota kwa kimalkia Elizabeth, serious?
 

akukubali sana wewe! stright forward nakufananisha na Dr Ackson naibu speaker mnaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…