Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv Ya Kimataifa, halafu anakuwa hajui kuzungumza,kivipi Tv ya Kimataifa iajiri mtu asiekidhi viwango,unajua kitu kuwa cha kimataifa ubora ni sifa muhimu, hebu check Aljazeera BBC CCTV na the like!, let's be serious tunapotoa identity,nadhani bado ni local tv station ukimataifa ingoje,bado!Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.
Kweli aseKalili jina la mleta mada...
Yani kola kukaa vibaya ni kuvaa hovyo?
Ila ID yako imenipa majibu.
Natumaini wahusika watarifanyia kazi wakijilizisha kwamba kuna ukweli.
mic u NifahYani kola kukaa vibaya ni kuvaa hovyo?
Ila ID yako imenipa majibu.
Akikuwa ataacha.
Ulitaka avae Hijabu ndiouridhike? Acha ushamba
Sasa ninyi kiswahili hamjui, kiingereza hamjui mnajua lugha gani?
AKIKUWA= AKIKUA.
Shule uliyoenda imekujaza ujinga, hiyo ndiyo tofauti kati ya shule niliyoenda mimi na uliyoenda wewe.
Sema "akikua" kwa sauti mara tatu ujione ulivyo punguani.
Kuhusu Kingereza wala usipate shida, anzisha tu mjadala tujimwage kwa Kingereza ila napenda ufahamu tu kuwa hata nikilala ndoto zangu huota kwa Kingereza.