Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

Kivipi tena mkuu???
Kwenye mambo ya kiimani(ulimwengu wa kiroho) inaonesha huyu mtoto ameshakataliwa tokea akiwa tumboni hadi kuzaliwa kiasi kwamba hata katika makuzi yake yatakua sio kama ya wale ndugu zake,sidhan kama kataweza kujiamini si mnakumbuka baba ake alivyokua anamkataa kwenye mainterview before hakajazaliwa..atakua masumbuko! ila wazazi wake ndo wameyataka haya.Ila nakaonea huruma haka kamalaika kalivyo kazuri hakupaswa kupitia hizi drama.
 
Mhhhhhhhhh!
Sasa hizo laana zinawezekana kuvunjika au ndiyo Perpetual ???
Kwasababu hata mwanzoni Yesu alikataliwa na alitaka kutelekezwa na baba yake!
Malaika wa bwana Gabriel ndiyo akamzuia Yusuphu asimkimbie!
Hebu nipe somo!
 
Huyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
Hili la mtoto wa mama halina mjadala.
Naamin hata yeye anajua.
Akioa watakaozaliwa ndani ya ndoa ndo watakuwa wanawe.
Hapo anamfanyia ihsani Hamiser na Zari kwenye maliezi
 
Mhhhhhhhhh!
Sasa hizo laana zinawezekana kuvunjika au ndiyo Perpetual ???
Kwasababu hata mwanzoni Yesu alikataliwa na alitaka kutelekezwa na baba yake!
Malaika wa bwana Gabriel ndiyo akamzuia Yusuphu asimkimbie!
Hebu nipe somo!
Laana inavunjwa sana..lakini kwa kumaanisha sio kwa utani! wazazi husika ndo watakua na hiyo kazi ukienda kwenye nyumba za ibada mbona wanakufundisha utaratibu.Lakini sasa turudi kwa hawa wausika je wana muda au ndo bora liende.
Alafu Yesu si unajua alikua na neema zake hivi katika hali ya kawaida ingekua siyo nguvu za Mungu kutumika nadhani hadi leo Yusuph angemkimbia mtoto hahah,ila ilipangwa iwe vile ili maandiko yapate kutimizwa.
 
Washabiki wake na familia kwa ujumla wanatakiwa wamshauri aoe sasa,yeye kuzaa tu na zinaa kwenda mbele,naungana na ticha katika maoni yake.
 
Huyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
Dai kaokoka hivyo ni wake. Ila mwalimu hakuna asilimia zaidi ya mia otherwise denominator mgogoro
 
Laana inavunjwa sana..lakini kwa kumaanisha sio kwa utani! wazazi husika ndo watakua na hiyo kazi ukienda kwenye nyumba za ibada mbona wanakufundisha utaratibu.Lakini sasa turudi kwa hawa wausika je wana muda au ndo bora liende.
Alafu Yesu si unajua alikua na neema zake hivi katika hali ya kawaida ingekua siyo nguvu za Mungu kutumika nadhani hadi leo Yusuph angemkimbia mtoto hahah,ila ilipangwa iwe vile ili maandiko yapate kutimizwa.

Hahahaha Charty bwana!
Kuna kitu umesahau kusema.
Yesu alikuwa ni mtu wa kukataliwa mpaka kufa kwake na hata vitabu vinasema hivyo!
Nabii Isaya anasema hivi kwenye ISAYA 53:3 "Alidharauliwa na kukataliwa na watu, alikuwa mtu wa huzuni"

Yesu hakukubalika na Wayahudi kwasababu walisema amezaliwa nje ya ndoa na siyo mwana wa Yusuphu,
Na Mungu aliwategea hivi akijua kabisa mtoto akizaliwa vile itakuwa ni kinyume na sheria za Kiyahudi watamkataa.
Hahaha umesema ukweli na kujipinga mwisho hapo.
 
hivi kwa nini haoi mtu unampenda mama wa watoto wako hadi anataka kutembelea magoti lkn ndoa hakuna.

wote waislamu tena shughuli za kiislam wamezifanya nyingi tu pale madale........lkn shughuli ya ndoa inashindikana
Mapenzi ya kiuchumi kuoa ni ngumu ujue
 
Hahahaha Charty bwana!
Kuna kitu umesahau kusema.
Yesu alikuwa ni mtu wa kukataliwa mpaka kufa kwake na hata vitabu vinasema hivyo!
Nabii Isaya anasema hivi kwenye ISAYA 53:3 "Alidharauliwa na kukataliwa na watu, alikuwa mtu wa huzuni"

Yesu hakukubalika na Wayahudi kwasababu walisema amezaliwa nje ya ndoa na siyo mwana wa Yusuphu,
Na Mungu aliwategea hivi akijua kabisa mtoto akizaliwa vile itakuwa ni kinyume na sheria za Kiyahudi watamkataa.
Hahaha umesema ukweli na kujipinga mwisho hapo.
ohoo sasa nikachanganya madesa,anyway uko sawa asante kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom