charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Kwenye mambo ya kiimani(ulimwengu wa kiroho) inaonesha huyu mtoto ameshakataliwa tokea akiwa tumboni hadi kuzaliwa kiasi kwamba hata katika makuzi yake yatakua sio kama ya wale ndugu zake,sidhan kama kataweza kujiamini si mnakumbuka baba ake alivyokua anamkataa kwenye mainterview before hakajazaliwa..atakua masumbuko! ila wazazi wake ndo wameyataka haya.Ila nakaonea huruma haka kamalaika kalivyo kazuri hakupaswa kupitia hizi drama.Kivipi tena mkuu???