Ni wacheza masumbwi wa huko marekani
Team wema sasa kama kawaida yao, wamemchamba maskini kaka watu, jamaa mwenyew hata hajui kuongea na kigugumizi chake
Sasa team wema imenishangaza tu jinsi waavyochamba , yani hawaeleweki hata kidogo, jamaa kawapa makavu live, eti mmoja wa tea wema anakwambia eti wema na ndomo wameshaona kisir kabla ya ramadhan et walifunga ndoa ya siri kukwepa umbea, nikasema labda sio mama ubaya huyu na ndomo huyu tunayemjua sie
labda hakualikwa
Naona hakwenda aliona kwenye gazeti la shigongo watu na wakwe zao wanavyojishaua ,chezeya camera za shigongo wewe. kaongea point sana ila na yeye hata sikumdhania kama anafuatiliaga aya mambo, kumbe na yeye mbea ivi halafu hata hafananii handsome mwenyew halafu anaonekana mstaarabu kumbe mchawi tu na yeye ,sasa kilimuuma nini? Japokuwa mama ubaya na ndomo na wenyew hawakufanya poa.
Ila alichosema ni kweli kabisa, hawara anapika chakula mama mkwe anaenda kula hizi dini watu wamezifanya za mchezo, kama kuvalishana pete club
Mtunis naye atulie, naye maisha ya mapenzi mbona yameshamshinda ana ruka ruka tu, anatafuta kiki tu hana lolote.
Hao timu wema wanamchamba kaka wa watu ila alichosema ni kweli kabisaa.Tatizo hizo team zake wote ni zero brain yani hata penye ukweli wanaleta midomo yao isiyokuwa na staha yani I wish siku moja washushiwe kipigo cha mbwa mwizi
Mimi walichokuwa wananishangaza ni jinsi wanavyochamba, yani mwenzao kaongea point wenyew wanatukana tu hata vitu ambavyo havipo kwenye maada, naona mtuniay kawavuruga team wema, manina lazima wakae mwaka huu
Jamani binamu usisahau kum follow kaka mtunisy mtunisy
Umbea hauna u handsome wala nn....ni hobby tu kama mtu anavyopenda kuogelea,kuimba n.k!!!
Maovu yaepukwe siku zote,sio kula futari ndo iwe big deal!!!
Yani binamu sijui tu kwanini huwa siipendi insta naionaga tu kwa shost yangu.Usijali nitamwambia am follow
Na yeye Mtunisi mbona anazini na Batuli si amuoe su siyo dhambi. Awaache wenzie walaleee.
Mi kwa uelewa wangu mdogo binamu ukifunga hutakiwi kula chakula kilichopikwa na hawara... aaah mambo ya kidigitali haya bwana.... ndio maana karibia ramadhani ndoa nyingi zinafungwa
Na yeye Mtunisi mbona anazini na Batuli si amuoe su siyo dhambi. Awaache wenzie walaleee.
But nadhani ramadhani hii hawaonani, wanafuata maadili ya dini
Tena umenikumbusha, dah batuli nyie kafa kaoza kwa mtunisi, alikuwa anasimulia mwenyew jinsi walivyopendana miaka hiyo ila akimwambia mtunisy ampeleke kwake jamaa anakataa had siku batul alipomwambia rafiki wa mtunisi ampeleke kwa mtunisy kuna mzigo anampelekea kumbe alitaka kupajua kwa mtunisy, kwenda kumbe jamaa kaoa bhana, wacha mtiti uanze ndani nasikia mke wake akaondoka akamwachia nyumba batuli na lenyew lilivyokuwa na mahaba niue akabaki na mume wa mtu wakaishi wote had walipigombana tena, nasikia jamaa kaoa ila bado anachepuka na batuli
Ok kama hawaonani poa.