Picha: Muna love akiwa na Zari...

Mie nilishangaa ghafla maisha yake yalivyobadilika sijui pesa alizipata wapi.

Kuhusu connection nilionaga anawapost couple flan ya kinigeria wanapesa balaa sijui anafanya nao business gani
 
Ila Muna ni mfupi jamani
Hadi Zari kamzidi urefu
Yaani wewe kila mtu unamkosoa hivi unamali kiasi gani kwa maana kwa ulivyo labda unautajiri kuliko dangote unajuamini kupita hadi kero
 
Hivi Warumi wewe ndio ulisema ni mwanaume sio!
 
zari minyoosho[emoji119] mwanamke mzuri huyu niliwahi bahatika kumuona live pale dar freemarket anaufupi wa wastani lakini ngozi mwororo lainiii kama ya evelyn mke wa prophet tb Joshua.
 
Kabisa yaani binamu [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
KaMuna nakapenda kako so charming, chemistry yake na Lulu iliendana sana,
Katakua kameanza kumpeleka Zari kwa Waganga wa India maana wa Africa kote kamemaliza.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]dahh!India na South Korea...!!!
 
Yaani wewe kila mtu unamkosoa hivi unamali kiasi gani kwa maana kwa ulivyo labda unautajiri kuliko dangote unajuamini kupita hadi kero
Juhudi za kujiuliza nina mali kiasi gani ziweke kwenye kutafuta mali zako

Kama nakuboa kindly ignore me
Hiyo option ipo humu JF
Asante
 
zari minyoosho[emoji119] mwanamke mzuri huyu niliwahi bahatika kumuona live pale dar freemarket anaufupi wa wastani lakini ngozi mwororo lainiii kama ya evelyn mke wa prophet tb Joshua.
Anajikandika ma makeup kibao usoni bana sijui anaficha nini[emoji848]

Na ni mfupi sio mfupi wa wastani

Usema kweli live na insta ni vitu viwili tofaaaauti yaan ni mbingu na ardhi

Nimemuona zaidi ya mara tano live

Raynavero

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…