Picha: Muonekano mpya wa Mama Diamond, ni shigidaa

Picha: Muonekano mpya wa Mama Diamond, ni shigidaa

Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60[emoji16][emoji16][emoji16]
13692e768c19f5bcd4e1ab62a37b8c8b.jpg
Nyie mabint mjifunze kulea mimba hata kama ni kwa mazingira magumu kiasi gani.
 
Ukifumania pesa zitumie bla bla foundation waachie wazungu.
 
Kesha fundishwa kurusha roho, kujibizana insta na kufukuzana na jamii za kina wema...
 
Back
Top Bottom