Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Nyie mabint mjifunze kulea mimba hata kama ni kwa mazingira magumu kiasi gani.Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60[emoji16][emoji16][emoji16]![]()