Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

Wema kiasilia ni mzuri sana, asingejiharibu haribu na madude ya kichina angekuwa tishio sana!
Ila mzuri, haina ubishi na picha hizi kweli hata mimi kaninyegeresha!
Huyu ni Wema Sepenga bhana wa enzi hizo......

Wema%20Sepetu.png
miss_2006.png

MISS.jpg

wema%2B(12).jpg

500x1000px-LL-ecbe92cb_WEMA.SEPETU.jpeg

WEMA-SEPETU6web.gif

WemaIsaacSEPETU.jpg

wemasepetu1.jpg
 
Ila hamzidi zari bwana age imesongo lakini bado kigoli, wema akishusha tu mmoja paaap ataanza kuchuja.
 
Wema laivu ni mkariii hata Zari analijua hilo...tena kwenye mapicha picha na maclip anakuwa wa kawaida but bahatika kumuona live...

Ambae ashamuona Wema face to face atalidhibitisha hilo,
 
Wema laivu ni mkariii hata Zari analijua hilo...tena kwenye mapicha picha na maclip anakuwa wa kawaida but bahatika kumuona live...

Ambae ashamuona Wema face to face atalidhibitisha hilo,
Nakubaliana nawe.
 
Back
Top Bottom