Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

Ila hamzidi zari bwana age imesongo lakini bado kigoli, wema akishusha tu mmoja paaap ataanza kuchuja.
 
Wema laivu ni mkariii hata Zari analijua hilo...tena kwenye mapicha picha na maclip anakuwa wa kawaida but bahatika kumuona live...

Ambae ashamuona Wema face to face atalidhibitisha hilo,
 
Wema laivu ni mkariii hata Zari analijua hilo...tena kwenye mapicha picha na maclip anakuwa wa kawaida but bahatika kumuona live...

Ambae ashamuona Wema face to face atalidhibitisha hilo,
Nakubaliana nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…