whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Hata akitoa bado ni mzuriMake up hiyo brooooo atoe uonee
Weww hujui waanawake unaonekana, umetokea bush nn, huyo amefanya plastic surgery, usiwe kama madenge mkuuHata akitoa bado ni mzuri
Sawa baba ndo nilchompendea hichoWeww hujui waanawake unaonekana, umetokea bush nn, huyo amefanya plastic surgery, usiwe kama madenge mkuu
Bass chieff, poa poaSawa baba ndo nilchompendea hicho
Aaah, unavuta bangi wewe sio bure, lolsiku nampitia huyi mtoto,,,nilijihisi kama mimi bonge moja la underground star, ila wadau mtoto ni mtamu bana, anatemperature moja hivi khaaaa......bahati mbaya niliishia kwa goli mbili nikawa hoi bin taaban!
vyte anavaaKwa nini havai suruali tighta au vimini??
Ha ha ha iPhone 7 itapendeza!!!Anayenitaka aninunulie IPhone 7, sitaki wanaume suruali mimi, aaah
Ha ha ha nawaona watu msio na jinsiaAaah aaah nyoko wewe, watu wasiojulikana na wasio na jinsia, binamu siku hizi umekua mpana kama sanda, mxieww, lol
Mbona sasa hivi hawazipapatikii iphone8 na x?kuna niniMake up ya iPhone 7
Za ofisini eeNampenda wema ila nguo alizovaa si za kwenye party
Wakawaida sana.
Ukiondoa hayo mazagazaga ya bandia na kuedit mwonekano wa picha, huyo binti ni wakawaida sana.